PICHA YA SIKU: ALIKIBA NA DIAMOND PLATNUMZ

Hii ni picha ya pamoja ya wasanii wenye upinzani mmkubwa zaidi Tanzania na Afrika mashariki yote. Ni Ali Kiba akiwa katika picha ya pamoja na msanii mwenzake Diamond Platnumz, wawili hawa wapo katika ushindani mkubwa.
Unaweza kutazama kazi zao za hivi karibuni kwa danta.
Ali Kiba - Seduce Me

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.