SIKILIZA NGOMA MPYA YA MONI CENTROZONE ALIYOM'DISS ROMA

Inaonekana mambo hayapo sawa kwa wasanii wawili ambao wapo chini ya Tongwe records, hapa namzungumzia Roma na Moni Centrozone ambao kwa sasa hawapo karibu kama ambavyo ilikuwa kipindi kabla ya Moni na Roma kutekwa. Roma kwa sasa anafanya tour za Fiesta akiwa na Stamina ambao kwa pamoja wanaunda kundi la Rostam huku Moni akiwa peke yake. Moni amefikia hatua ya kuingia studio na kum'diss Roma Mkatoliki kwenye ngoma yake mpya inayokwenda kwa Tunaishi Nao Remix. Unaweza kuisikiliza danta
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.