TAZAMA LULU NA MAMA KANUMBA WALIVYOPISHANA MAHAKAMANI BILA KUSALIMIANA

Elizabeth Michael Afikishwa Mahakamani Kesi ya Kanumba Diva kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, Elizabeth Michael 'Lulu' amefikishwa katika mahakama ya Kisutu jijini Dar leo Oktoba 19, 2017, kwa ajili ya kusikiliza muendelezo wa kesi inayomkabili ya kuhusishwa na kifo cha Aliyekuwa muigizaji Nguli Bongo, Steven Kanumba. 

Lulu alifika mahakamani hapo akiwa ameambatana na mama yake mzazi.
Hapa ni kipindi bado bado wapo marafiki, sasa ni kama chui na paka.
Tazama video ya chini kutazama tangia Lulu anafika mahakamani kwa kesi ya mauaji ya mwigizaji nguli nchini Tanzania, Marehemu Steven Kanumba.

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.