DIAMOND PLATNUMZ AACHIA NYIMBO MBILI KWA MPIGO, UNAWEZA KUZISIKILIZA HAPA

Wakati mashabiki wakiendelea kusubiria ngoma ya Diamond Platnumz ft. Rick Ross ambayo itatoka mwezi wa kumi na mbili (12) mwanzoni, msanii Diamond Platnumz ameachia ngoma mbili kwa mpigo "Sikomi" na "Niache" ambazo zote ni audio. Unaweza kuzisikiliza ama kuzipakua kwa kubofya link kwa danta
Leave a Comment