DJ TOZ B x G FUNK x JUJU BUCKS - MONEY MAN (MUSIC VIDEO)

Kutoka nchini Afrika ya kusini nakutambulisha Dj Toz B ambaye anafanya kazi zake huko lakini ni mTz na hapa kashirikiana kwa uzuri kabisa na wasanii G Funk na JUJU Bucks kutoka Afrika ya kusini katika video ya nyimbo yao inayokwenda kwa jina la 'Money Man'. Unaweza kuitazama kwa danta.
Leave a Comment