JE, MONI ATAIMBA NGOMA ALIYOMDISS ROMA KWENYE STAGE YA FIESTA?

Msanii Moni Centrozone na Roma wameingia kwenye bifu baada ya kupishana maneno. Hatua hiyo imefikia msanii Moni kutoa nyimbo ya kumdiss Roma. Unaweza kuisikiliza HAPA (Tunaishi Nao Remix - Roma Diss). Swali ambalo wapenzi wengi wa burudani wanajiuliza kwa sasa ni, Je Moni Centrozone ataimba Tunaishi Nao Remix (Roma diss) kwenye stage ya Fiesta ambapo Roma pia atakuwepo na Stamina kwenye stage hiyo hiyo..Lets wait and see!!
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.