KIM KARDASHIAN AIBUKA UPYA NA PICHA ZA UTUPU

Kim Kardashian yupo radhi kufanya jambo lolote ilimradi apate fedha. Mrembo huyo wa Kanye West amepiga picha za utupu kwa ajili ya tangazo la vipodozi vya KKW Beauty. Mara ya mwisho kwa Kim kupiga picha kama hizo ilikuwa ni mwezi Juni mwaka jana alipotokea kwenye kava la jarida jipya la GQ katika toleo lililopewa jina la “Love, Sex, and Madness..”
Tazama picha nyingine za utupu HAPA (Must be 18+)
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.