MWANA FA FT. MAUA SAMA - HATA SIELEWI (MUSIC VIDEO) / LYRICS

Baada ya kufanya vema na ngoma ya pamoja aliyoimba na AY na Fid, msanii kutoka Tanzania anayefahamika kwa jina la MwanaFA ameachia video ya ngoma yake mpya inyokwenda kwa jina la "Hata Sielewi" aliyomshirikisha Maua Sama.
LYRICS: Faaalsafaa Falsafa Hommie Samaa Are you listening? Verse I (MwanaFA) Bonge la mtoto/bonge la zigo/ Naamini sioti coz naipenda hii ndoto/ Sitoi boko/na naamini hayuko soko/ Ntamvisha pete leo leo/ Sio wa mchezo ka kazi ya kwenye video/ Ananikaanga roho/ananisaga moyo/ Sipo sawa akili imevurugwa nayo/ Nilikuwa poa tu kabla hatujakutana/ Gangster kama mimi hakuna/ Hana wasiwasi anatembea kama hataki,anajivuuta/ na kila hatua ina nukta/ Kiuno cha nyigu/rangi ya kinugu/ Nashangaa maujuzi ya Mungu/ Hakuna kovu hakuna sugu/ Maswali bila ya majibu/ HOOK: So unafanya nionekane chizi/ Hata sielewi nini la kufanya/ Akili hazifanyi ka zimekufa ganzi/ Hata sielewi naona nyota mamaa/ Where you coming from?/ Hata Sielewi/Sielewi/ Where you coming from?/ Hata Sielewi/Sielewi/ Sielewi Sielewi Eeh,Eeh Sielewi Sielewi Eeh,Eeeh Verse II (MwanaFA) Sielewi lugha nyingine/ Macho yamegoma hayaoni kiumbe mwingine/ Huyu ntakopa ntaazima/ila lazima/ Ninyooshe mji mzima/ Acha moyo unibebe unipeleke unapotaka/ Ntarudi siku ukitaka/ Im all in, Im fallin’/ Maskio yataniziba akiniita darling/ Moyo unanienda mbio,naisoma namba/ Mwili mlaini utasema aliumbwa kwa pamba/ Hana chale hana shanga/ Mimacho imentoka ile kishamba/ Sina hakika ni chiicha au ganja za zamani/ Ila ana siifa za kuitwa mwandani/ Tuchangie shuka,tuchangie majina/ Nimshike mkono niende nae dunia nzima/ HOOK MAUA SAMA: Umetokea wapi kwani?/ Na umetumwa na nani?/ Umekuja na uganga wa wapi?/ Nilikuwa sawa kabla sijakutia machoni/ Sielewi Sielewi Eeh,Eeh Sielewi Sielewi Eeiiih,Eeeh HOOK Hata Sielewi naona nyota mamaa Hata Sielewi naona nyota mamaa ------------------------------------------------------ Song: Hata Sielewi Artist: MwanaFA Featuring Maua Sama Producer: Hermy B (B Hitz) Video: Studio Space Pictures (South Africa) Follow MwanaFA on twitter: http://twitter.com/MwanaFA Like MwanaFA on Facebook: https://www.facebook.com/binamu13 Follow MwanaFA on Instagram: http://www.instagram.com/MwanaFA Keeping the Good Music Alive.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.