ANGALIA VIDEO YA WIMBO MPYA WA JACO BEATZ AKIMSHIRIKISHA MONI CENTROZONE

Ikiwa ni zaidi ya miezi nane imepita tangu msanii Jaco Beatz atangaze rasmi kuachana na shughuli za muziki na kubakia kama mdau wa muziki, leo hii ameachia video ya nyimbo yake mpya aliyomshirikisha Moni Centrozone. Jaco Beatz hakutoa sababu za kuacha muziki mpaka alipoachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Baby. Take your time and watch out the video.

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.