MFAHAMU MMILIKI WA MAK JUICE, ALIYEANZA NA MTAJI WA 7000 NA SASA ANA DALADALA YA KUUZA JUICE MITAANI



Mjasiriamali Mak maarufu kama Mak Juice amezungumza jinsi alivyoanza biashara yake kwa mtaji mdogo lakini sasa imemsadia kuajiri vijana wengine na hata kubadili maisha yake kiuchumi.
Pamoja na hilo ameelezea jinsi alivyojipanga kuanza kusambaza juice yake mtaa kwa mtaa kwa bei hiyo hiyo ya elfu mbili.


Chanzo: MillardAyo
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.