Baada ya kimya kingi msanii Mo Music ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Kibajaji akiwa kamshirikisha Roma Mkatoliki. Take your time and watch out the video below mtu wangu wa nguvu kabisa..!!
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment