MFAHAMU ALIYEPIGA PICHA YA RAIS MAGUFULI AKIPIGA PUSH UPS WAKATI WA KAMPENI ZA URAIS 2015

Ni ile picha ambayo ilisambaa sana kipindi cha kampeni za urais 2015 ambapo ilimuonyesha Rais Magufuli (kwa kipindi hicho alikuwa mgombea urais) akipiga push ups. Hebu fanya kumsikiliza mtu aliyepiga picha hiyo hapo juu vile amejisikia baada ya kuona picha aliyopiga imesambaa na kuwa mojawapo kati ya picha maarufu zaidi kwa wakati wa kampeni za urais nchini Tanzania.

Chanzo: MillardAyo
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.