PREZZO X DOGO JANJA - HAMSA MIA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3
Ikiwa ni ushirikiano wa wasanii wawili kutoka Afrika mashariki, hapa nazungumzia Tanzania na Kenya ambapo msanii Prezzo na Dogo Janja wamekutana na kufanya ngoma ya pamoja inayokwenda kwa jina la "Hamsa Mia" ambayo unaweza kuitazama video yake kwa danta mtu wangu.
Leave a Comment