WEMA SEPETU AFANYA KUFURU, AONYESHA MAKALIO YAKE LIVE



MSANII wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia msambwanda wake LIVE wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones. Katika kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Zaiid wa Wowowo ukipigwa wimbo ambao unaonyesha kumfurahisha mlimbwende huyo na kuamua wowowo lake hadharani bila uoga wowote.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.