EMINEM - FRAMED (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Kutoka katika album yake ya Revival, msanii Eminem ameachia video ya nyimbo yake inayokwenda kwa jina la 'Framed'. Eminem ameachia video hiyo mapema mwaka huu baada ya kufanya vizuri kwa nyimbo 'Walk on water' aliomshirikisha mwanadada Beyonce na wimbo River aliomshirikisha msanii Ed Sheeran. Take your time and watch out the video below.
Leave a Comment