OMG!!! HII NDIYO STAGE ALIYOFIKIA KOFFI OLOMIDE

Unaweza sema kuwa Young Dee alimu inspire sana msanii mkongwe kutoka nchini Congo, Koffi Olomide kuvaa 'skirt' kama ambavyo unamuona kwenye picha hapo chini. Kwa mfano ikatokea umeokota bag la nguo za Koffi Olomide na ukakuta kuna nguo kama hizo bag zima, utafanyaje? Utampelekea Young Dee au utazivaa mwenyewe? Na utazivalia wapi??
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.