DRAMA 10 BORA ZA KIHISTORIA KUHUSU JOSEON

Kwa wale wanazi au wapenzi wa Drama kutoka pande za Korea Kusini nadhani mtakuwa mnafahamu kuhusu Joseon. Taifa lililokuwepo miaka ya 1300 - 1800 k.m.
Nimeandaa Drama kali 10 ambazo zinaelezea kuhusu Historia ya dola hiyo kwa ufasaha zaidi ukiachana na zile zilizojaa stori za kutunga mfano Gu Family Book. Twende kazi! 
(List haipo kinamba).

8. YI SAN

Kama hujapata kutazama Drama hizo zitafute na hutojutia kupoteza muda wako kujifunza Korean History. Burudika na jifunze historia ya Josean kwa uzuri zaidi! Karibu sana! Anyeong!

Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.