HATIMAYE RAV4 2019 IMEPATA MUONEKANO MPYA WA KIUME

Naweza kusema Toyota ameanza kurudi kwenye mstari wa kutengeneza vyombo vya uhakika baada ya kutoka kutufyatulia uchafu kadhaa kati ya miaka 2012 - 2017 hapo.. 
Wale designer wa gari ambazo hazitazamiki nadhani watakuwa wameshapangiwa kazi nyingine mpaka sasa kama sio kuwa fired kabisa. Kuna mabadiliko makubwa katika muonekano wa gari za Toyota za sasa. Hatimaye 2019 tu design mpya ya RAV 4 ambayo imekaa kiume binafsi nimeielewa sana na naweza kuhamia katika hio brand panapo majaliwa. RAV 4 nilikua sizikubali kabisa licha ya fuel economy ila shepu yake ya kike ilikuwa inanikera hata hazipimpiki yani.
Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.