Baada ya This is America ya Childish Gambino kufanya vizuri kwenye chart mbalimbali za muziki duniani ikiwemo Billboard, wasanii wengi wamejitokeza na kufanya cover ya This is America. Falz amefanya This is Nigeria, Childish Whozu amefanya This is Tanzania na kutoka Iraq msanii I-NZ amefanya This is Iraq ambayo unaweza kuitazama kwa danta mtu wangu. Tukiachana na hizo ipo nyingine hii hapa ya Arabia, This is Arabia & This is Malaysiaby Chinese Gambino. Unaweza kupakua audio mp3 kwa kubofya link danta.
A PICTURE OF K. MBAPPE WITH HIS FATHER U. MBAPPE
-
Mr Mbappe says: Once I took my son to Cameroon. I wanted my son to play in
the national team for Cameroon. But the Cameroon Football Federation asks
me fo...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment