KWANINI WATEMBELEAJI WA TOVUTI KUBWA TANZANIA WAMEPUNGUA?

Mwaka 2016/17 tovuti nyingi za kitanzania zilikua kwenye kwenye orodha ya tovuti 10 Bora zenye watembeleaji wengi zaidi Tanzania.

Hii ilifanya hizi tovuti kujipatia kipato kizuri kutokana na kuwa na watembeleaji wengi na kuwa vivutio kwa makampuni makubwa yanayotumia idadi ya watembeleaji kama moja kigezo cha kuweka matangazo yao kwenye baadhi ya hizi tovuti. Ila siku zilipokuwa zinazidi kusonga mbele, tovuti zote kubwa za kitanzania zimepata mtikisiko na kupungukiwa idadi kubwa za watembeleaji.
Hii inanileta kwenye swali la msingi ambalo ningependa tujadiliane. 

Kwanini tovuti zetu zinashuka madaraja kila iitwapo leo?
Kujua sababu itatusaidia sana wabunifu wa kitanzania kufanya maamuzi mazuri pamoja na kukwepa kurudia makosa ili kuokoa ubunifu wetu na kutufanya tupate faida kwenye sekta hii ya teknolojia. Kulingana na ALEXA...



Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.