NAFASI ZA KAZI KK SECURITY TANZANIA

Kampuni ya ulinzi ya KK Security Tanzania Ltd. Yenye ofisi yake Capripoint mbele kidogo na Kamanga Fery Mwanza na ofisi kuu Mikocheni B Dar es Salaam, Inatangaza nafasi ya kazi Ya ulinzi.

VIGEZO

  1. Elimu: Kidato cha nne na kuendelea.
  2. Uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.
  3. Umri wa miaka 23 - 42
  4. Urefu futi 5.7 na kuendelea (kwa wanaume)
  5. Afya njema
  6. Asiwe na makosa yeoyote ya jinai
  7. Awe tayari Kazi Mkoa wowote wa Tanzania.
HATUA
  • Mwombaji Afike na barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na mwombaji kwa kiingereza
  • Nakala za vyeti na vyeti halisi, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo.
  • Barua ya utambulisho kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
  • Barua za wadhamini wawili (zipiigwe muhuri kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa juu ya picha na Wasiwe walinzi au wanafunzi).
  • Mdhamini awe na kitambulisho halali.
  • Mwombaji awe na picha 5 za pasipoti zilizopigwa hivi karibuni
  • Mwombaji awe tayari kwa mahojiano na usaili.

Usaili utafanyika kuanzia Tarehe 16 mpaka 20 Julai 2018, Ofisini kwetu Capripoint Mwanza kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni.

Epuka matapeli, Hakuna rushwa ni vigezo tu vinazingatiwa.

Kwa msaada 0743171049

Image result for animated download now gif

1 comment:

  1. Finding trusted sources for the Latest Jobs in Greater Noida can be tough, but I’ve had a good experience with ATSMantra. The portal shares detailed job descriptions, skill requirements, and company profiles — helps you apply confidently."

    ReplyDelete

Powered by Blogger.