KENSOUL FT. THA RIFT - LTDF (LIT TURNT DRUNK FADED)
Msanii KenSoul anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la LTDF (Lit Turnt Drunk Faded) akimshirikisha Tha Rift aliyekuwa member wa kundi la FREEWIFI. Kama una kumbukumbu nzuri bila shaka unafahamu kama Tha Rift amewahi kufanya nyimbo na msanii Moni Centrozone "Kirikuu Remix" kutoka Tanzania.
Leave a Comment