TOXIC CENTROZONE - SIPOKEI USHAURI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Msanii Toxic Centrozone kutoka Tanzania anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Sipokei Ushauri'. Audio imetayarishwa B One Rec wakati video imesimamiwa na Director Black X.
Leave a Comment