JIFUNZE NAMNA YA KUPATA MTOTO WA KIUME
Kwanza unatakiwa ujue siku za mwenza wako vizuri. Nitaeleza kwa wale wa siku 28 tu. Kwanza ijue siku mwenza wako alipata hedhi..then anza kuhesabu toka siku ile hadi siku ya 14...let say alianza leo tar 5 Jan.sasa siku ya 14 itaangukia tar 18 January.
Kwanini siku ya 14? Kwasababu toka mwenza wako apate hedhi,itamchukua siku nyingine 14 yai jingine kupevuka na kuwepo katika mirija ya kurutubishia yai ambapo siku hiyo anaweza kupata mimba.
Sasa,baada ya kujua hilo,unatakiwa kujua life span ya mbegu za kike na zile za kiume.
Mwanaume anatia gamet mbili,yaani XX na YY.
XX inaishi mda mrefu yaani saa 72.
YY inaishi mda mfupi yaani saa 48.
Mwanamke yai lake linaishi kwa mda wa saa 36 tu na gamet anazotoa ni XX.
Hivyo ukirejea pale juu siku yetu ya mfano ya mwenza wako kupata hedhi ilikuwa tar.5 Jan hivyo siku ya tar 18 yai lake litakuwa limekomaa na kuwekwa sehemu ya kurutubishia(fallopian tube) tayari kwa urutubishaji.
Hivyo ukipiga hesabu zako pale, tar 18 hapati mimba?! Jibu ni kuwa atapata iwapo utakutana naye kwani yai litakuwa limekomaa. Na kama unataka mtoto wa kiume unashauriwa usubiri usiku sana kama kuanzia saa tano na kuendelea.
Tar 19 hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata na asilimia kubwa sana atazaliwa mtoto wa kiume kwasababu yai litakuwa tayari kwenye mirija ya kurutubishia likiwa linasubiri mbegu za kiume. Kumbuka male gamet za YY zina mbio zaidi ya zile za mbegu za kiume za XX.
Je tar 20 hatapata mimba? Jibu ni kuwa ukiwahi zaidi atapata kwasababu yai la kike linaishi kwa mda wa saa 36 hivyo ukiwahi kabla mda huo haujaisha basi utapata mtoto dume ila ukichelewa yai la kike XX litakuwa limekufa.
Vipi kwa mtoto wa kike?
Tar 17 jan.hapati mimba? Jibu ni kuwa atapata kwa kuwa mbegu za kiume XX na YY zitakuwa hai hadi tar 18.
Je tar.16? Atapata kwa kuwa mbeguu XX na YY zitakuwa bado hai hadi tar 18 Jan. Sasa vip tar 15? Atapata mtoto na uwezekano mkubwa ni mtoto wa kike kwasababu hadi tar.18 mbegu za kiume YY zitakuwa zimepitisha mda wake wa uhai yaani saa 48 na kuziacha mbegu XX peke yake zikijivinjari. Tar 14 kama ilivyo tar 21 ni siku ya tahadhari tu lakini uwezekano ni mdogo sana.
XX zinaishi mda mrefu ila mbio kidogo na YY mbio sana lakini maisha mafupi.
So hesabu siku 14 toka hedhi ya mke wako,tar itakayoangukia ukiongeza siku 2 toka tar hiyo siku ya 14 ilipodondokea mda wa usiku wa siku ile ya 14 basi utapata dume na siku inayofuata mda wowote. Na ukipunguza siku 3 toka siku ya 14 inapodondokea then ukutane na mwenza wako basi mtoto jike anaweza kuja....cheza tu na life span ya yai la kike na life span ya mbegu XX na YY basi.
Leave a Comment