Roma na Stamina (Rostam) hawakuwahi kuifanyia show nyimbo yao mpya inayokwenda kwa jina la Parapanda, na hii ndiyo mara ya kwanza. Unahisi wametendea haki wimbo wao wa Parapandaambayo audio peke yake ina zaidi ya viewers millioni moja kwenye mtandao wa YouTube! Isikilize HAPA.
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment