HUYU NDIYO MUME MTARAJIWA WA WEMA SEPETU

Baada ya Kusherekea Siku yake ya Kuzaliwa kwa Kutimiza Miaka 30 Kwenye Siku ambayo alizindua Movie yake Mpya ya DAD aliyofanya na Msanii Kutokea Nchini Ghana Van Vicker , Miss Tanzania 2006 Mrembo Wema Sepetu ameamua kuweka wazi kuwa Ataingia Kwenye Ndoa Hivi Karibuni Kupitia Page yake ya Instagram yenye Followers zaidi ya Milioni 4, Wema ameweka Picha akiwa na Mwanaume ambae amemuandikia Caption kuwa MUME WAKE MTARAJIWA Huku wakiwa Katika Pozi la Kimahaba Kwenye Picha Waliyopiga.

No comments

Powered by Blogger.