NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2018


Baraza la Mitihani NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofaiti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76%

Dk. Charles Msonde amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 4.9% ikilinganishwa na 2017, amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengine, (-50%)

Baraza la Mitihani nchini limewafutia matokeo watahiniwa 357, waliobainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani iliyofanyika mwaka huu 2018

"Baraza limezuia kutoka matokeo ya watahiniwa zaidi 100 kutokana na kuugua kipindi cha mtihani na kuwapa fursa ya kufanya mtihani huo mwaka 2019" Dk. Charles Msonde.

Kuona matokeo hayo | Fungua link zifuatazo

No comments

Powered by Blogger.