NJIA RAHISI YA KUANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA

Necta imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2018 huku ufaulu ukiwa umeongezeka kwa asilimia 7%. Leo hii tunakuletea njia rahisi zaidi ya kuangalia matokeo ya darasa la saba kila mwaka pindi yanapotangazwa na tume husika ambayo ni NECTA. Unaweza kutazama matokeo ya darasa la saba kila mwaka kwa kupakua mobile app za matokeo zinazopatikana kwenye play store bure kabisa kwa kubofya link zifuatazo.

2. Darasa la 4 na 7 - Bofya HAPA
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.