SHOW YA ASHANTI 'YAFUTWA' BAADA YA KUUZA TIKETI 24

Show ya msanii Ashanti imebidi kufutwa kutokana na mauzo madogo ya tiketi ikiwa imebaki wiki moja tuu show hiyo kufanyika. Waandaaji wa show hiyo waliomba radhi kwa mashabiki wote wa Ashanti na kutoa tamko kuwa show hiyo haitakuwepo tena kwa sababu ya mauzo kidogo ya tiketi. Miongoni mwa nyimbo zilizompa umaarufu Ashanti ni pamoja na Whats Luv aliyoshirikishwa na Fat Joe. Hata hiyo wana mpango wa kutoa album ya pamoja na Ja Rule.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.