BEST HIPHOP ARTIST KWENYE NYAMBAGO AWARDS 2018/19

Msanii bora wa hiphop anayefahamika kwa jina la John MP "Mc Shujaa" anayetamba na nyimbo kama 'Uwezo' anakukaribisha kumpigia kura kwenye tuzo za Nyambago Awards ambazo zitafanyika hivi karibuni. 

NINI CHA KUFANYA
1. Unaweza post picha yake na kuandika maneno yafuatayo kwenye picha ya John MP (andika: #NyambagoAwards2018BHH106) kwa kutumia hashtag hiyo utakuwa umempigia kura John MP
2. Nenda kwenye page ya Nyambago Awards (bofya HAPA) na kisha (andika #NyambagoAwards2018BHH106) uweze kumpigi kura John MP

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.