TENGENEZA KIPATO CHA ZIADA KUPITIA MTANDAO
Katika kufanya kazi mtandaoni kama freelancer nimeweza kuja
na list ya mitandao ambayo ninaiamini.
Fiverr: Huu ni wa
uhakika kabisa kuna kazi nyingi sana humu. Ila inahitaji utengeneza profile na
portfolio ya maana maana wanafanya screening ya nguvu kabla ya kukuruhusu
kuanza kugombea kazi zinazo postiwa. Kuna kila aina ya kazi kuanzia kutype,
graphics, we designing, content writting, music, animation, Legal Documents
yani kazi zote uzijuazo wewe zinapatikana HAPA.
Freelancer: Huu
ni mtandao mwingine ninaouamini na nimefanya kazi nyingi hapa na babdo
ninaendelea kufanya walau kila siku kazi 2 mpaka 5. Bofya hapa kujiunga http://bit.ly/2SgO6S0
Kuna mmoja huu sasa si wa freelancer ila unaitwa Kentar Futures.
Hawa watu wanalipa ela sana sana unaweza kuhisi ni matapeli
ila ni kweli mtupu na nimefanya nao kazi kwa muda mrefu japo ni kwa msimu kazi
zao zinaweza kuja mfululizo miezi sita halafu zikakata hata kwa miez sita
mingine lakini zikianza kuja unakuta unapewa kazi kila week kazi moja na kila
kazi ukimaliza unalipwa $450. Inategemea ni kazi gani ila sometimes uwa malipo
anashuka kama ni kazi ndogo ya siku 4 unakuta wanalipa $115 na wanalipa direct
via money wire. Jiunge sasa, bofya hapa
UNAPATA MALIPO KWA
NJIA YA BANK CHEQUE / Money Wire, PAYPAL NA PAYONEER.
Leave a Comment