ANGALIA SHOW ZOTE ZA WASAFI FESTIVAL HAPA

Show za Wasafi festival bado zinaendelea tangu zilipoanza rasmi tarehe 24/11 mkoani Mtwara. Kama upo mbali na mahali Wasafi festival inafanyika, usihofu. Unaweza kutazama show zote za #WasafiFestival kwa kubofya HAPA au nenda play store pakua mobile app ya Diamond Vs AliKiba uweze kuangalia show zoote za Diamond na AliKiba bure kabisa kupitia simu yako ya mkononi.


Leave a Comment