Darassa ameachia nyimbo zake mpya mbili kwa mpigo. Hii ni baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya mwaka na sasa anakukaribisha wewe shabiki yake kutazama video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Achia Njia'.
Ngoma nyingine aliyoachia Darassa inakwenda kwa jina la 'Tofauti' ikiwa ni audio, unaweza kusikiliza kwa kubofya HAPA
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment