KAMA HUAMINI WATU WENGI WAVIVU WANA AKILI, ANGALIA HIZI PICHA

Bill Gates alishawahi kusema, "kama unataka kazi yako ifanywe haraka bs mpe mtu mvivu". Ukimpa kazi mtu yeyote mvivu bila shaka atatafuta njia rahisi zaidi ya kufanya kazi ile, ndiyo maana hapa nimekuletea picha nne (4) za watu wavivu waliotafuta njia mbadala ya kufanikisha mambo yao.
Sio wote watakaoangalia picha hizi watazielewa, kama unahisi hujaelewa picha yeyote kati ya picha nne hapo juu usisite kutuambia hapo chini kwenye sehemu ya comment nasi tutakujuza zaidi. Heri ya mwaka mpya in advance!!

Image result for animated download now gif

2 comments:

  1. Replies
    1. Ni hivi,

      Picha ya 1. Kijana anaona uvivu kushika simu huku amelala kwa hiyo alichofanya ni kuchukua meza ya kioo na kuweka juu simu huku yeye akiangalia kwa chini.

      Picha ya 2. Mlinzi anasikia usingizi kwa hiyo ameamua kuchukua picha ya askari akaiweka mbale yake na yeye akalala nyuma ya ile picha.

      Picha ya 3. Mdada kaona uvivu kupaka rangi vidole vitano wakati akivaa kiatu chake vidole vinavyoonekana ni viwil, kwa hiyo akapaka rangi vidole hivyo hivyo viwili.

      Picha ya 4. Jamaa kaona uvivu kunyanyua glass kila saa kwa hiyo kaamua kuchukua mrija mrefu na kuuweka kwa glass ili anywe juice bila kunyanyua nyanyua glass.

      Bila shaka umeelewa. Asante kwa kutembelea BlackMutu Blog!!

      Delete

Powered by Blogger.