MARIOO - WAUWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Baada ya kuachia wimbo wake wa Ifunanya, msanii Marioo ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Wauwe". Usiniulize mimi Marioo anataka a 'wauwe' wakina nani, cha kufanya tazama video yake hapo chini na kisha utamulelewa nini ambacho alikuwa anamaanisha.
AUDIO | MARIOO - WAUWE | DOWNLOAD MP3

Leave a Comment