SWIZZ BEATZ - ECHO feat. NAS (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Swizz Beatz akimshirikisha Nas kwenye wimbo wake mpya 'Echo' amekualika wewe shabiki wake kutazama video ya wimbo wake mpya 'Echo'. Wimbo huu unapatikana kwenye album ya Swizz Beatz "Poison" iliyotoka hv karibuni.

Leave a Comment