THE BLACK EYED PEAS - feat. NAS - BACK 2 HIPHOP (OFFICIAL MUSIC VIDEO)


Baada ya msanii Will.I.Am kusema kuwa muziki wa trap ni muziki rahisi ambao kila mtu anweza kufanya, leo hii yeye na kundi lake la The Black Eyed Peas wamekuletea video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "Back 2 Hiphop" ambao wamemshirikisha Nas. Take your time and watch the video!!

Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.