KWANINI ELIZABETH MICHAEL "LULU" AMEAMUA KUUZA NGUO NA VIATU VYAKE?!


Wakati siku ya Wapendanao February 14 mwaka huu inakaribia, staa wa filamu Elizabeth Michael 'Lulu' amekuja na jambo jipya. Anauza nguo zake na viatu ambapo pesa atakayoipata itakwenda kusaidia wenye uhitaji katika jamii. Lulu amethibitisha hayo kupitia akaunti yake ya Instagram ambapo amekuja na kitu hicho alichokipa jina la “Save My Valentine”.

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.