Msanii wa filamu nchini Salome Nonge maarufu kwa jina la ‘Mama Abdul’ amefariki dunia mchana wa leo. Mama Abdul amekuwa muigizaji kwa kipindi kirefu tangu enzi za tamthilia ya 'Mambo Hayo' iliyokuwa ikirushwa na ITV akishirikiana na wenzie kina Bishanga Bashaija, Muhogo Mchungu, Bi Star, Nyamayao,Kibakuli na wengineo wengi. Hivi karibuni mama Abdul alishiriki katika filamu ya Kantangaze ambayo iliandaliwa na Zamaradi Mketema na kufanya vizuri. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
A PICTURE OF K. MBAPPE WITH HIS FATHER U. MBAPPE
-
Mr Mbappe says: Once I took my son to Cameroon. I wanted my son to play in
the national team for Cameroon. But the Cameroon Football Federation asks
me fo...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment