RAYVANNY feat. DIAMOND PLATNUMZ - TETEMA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Ikiwa ni masaa 15 tangu imetoka, video ya wimbo wa Rayvanny "Tetema" akimshirikisha Diamond Platnumz imeshafikisha views zaidi ya 804k (804,739). Je, unahisi inaweza kufikisha views milioni kabla ya masaa 24?! Unaweza kuitazama hapo chini, comment zako ni muhimu pia mtu wangu!
AUDIO | RAYVANNY - TETEMA feat. DIAMOND PLATNUMZ | DOWNLOAD

Leave a Comment