The wait is over!!! Hatimaye Dj Khaled ameachia album yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Father of Asahd' ambayo ina nyimbo 15 huku wasanii kama Nipsey Hussle, Beyonce, Jay Z, Meek Mill, John Legend, Buju Banton, Justin Bieber na wengineo wengi wakiwa wamehusika katika album hiyo. Kwa kuanza fanya kutazama na kusikiliza wimbo wa Dj Khaled "Higher" ambao amefanya na John Legend na Nipsey Hussle ambaye amefariki dunia kwa kupigwa risasi mwaka huu, California nchini Marekani.
A PICTURE OF K. MBAPPE WITH HIS FATHER U. MBAPPE
-
Mr Mbappe says: Once I took my son to Cameroon. I wanted my son to play in
the national team for Cameroon. But the Cameroon Football Federation asks
me fo...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment