TORY LANEZ - SOCO feat. MELII | DOWNLOAD MP3

Kutoka nchini Canada, msanii Tory Lanez amekuletea cover ya wimbo wa Wizkid unaofahamika kwa jina la "Soco". Tory Lanez ni mzaliwa wa Canada ambaye anafanya shughuli zake za muziki nchini Marekani wakati Wizkid ni mwafrika kutoka Nigeria. Original version ya wimbo wa Soco umefanywa na Wizkid, Terri, Spotless na Ceeza. Tendea haki masikio yako kwa kuyasikiliza huu mdundo mtu wangu.

Unaweza kutazama video ya wimbo wa 'Soco' original kutoka kwa Wizkid

No comments

Powered by Blogger.