Kutoka Majengo Sokoni, msanii Moni Centrozone anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake "Mtiti". Video imetayarishwa na Moe Kaali na location ilipofanyika video hiyo ni Dodoma. Mtayarishaji wa audio ya wimbo huo ni Slimsal na ngoma imefanyika ndani ya studio za Tongwe Records.
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment