MONI CENTROZONE x MR T TOUCH - MWANZO MWISHO | DOWNLOAD MP3

Kutoka Majengo Sokoni, msanii Moni Centrozone anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya "Mwanzo Mwisho" akiwa kashirikiana na mtayarishaji wa muziki Mr T Touch. Wimbo huu umetoka ikiwa ni baada ya kufanya vizuri kwa wimbo wake uliopita "Mtiti". Sikiliza / pakua "Mwanzo Mwisho" hapo chini..!

Download mp3: MONI CENTROZONE x MR T TOUCH - MWANZO MWISHO
Leave a Comment