MPIGIE KURA MSANII HARMONIZE MTV EMA 2019 (EUROPE MUSIC AWARDS)

Unaweza kumpigia kura msanii Harmonize kwenye kipengele cha Best African Act kwa kubofya HAPA. Harmonize anachuana na wasanii kama Burna Boy, Nasty C, Teni, Prince Kaybee, na Toofan. Wasanii wote wanaoshindana na Harmonize kwenye kipengele hicho ni kutoka West na South Africa, hivyo basi sisi kama East Africa (Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda na Burundi) kwa pamoja #TunamsapotiHarmonize kwenye MTV EMA 2019 na bila woga tunapiga kura mara nyingi tuwezavyo ili kuileta hii tuzo nyumbani.

No comments

Powered by Blogger.