COUNTRY WIZZ - STATEMENT (OFFICIAL VIDEO)

Country Boy ameamua kuachia video ya wimbo wake mpya "Statement" katika kipindi kigumu kabisa ambacho wananchi wengi nchini Tanzania wameamua kuwapotezea wasanii kutokana na wasanii kutopaza sauti kipindi cha uchaguzi wa taifa uliofanyika Oktoba 29 mwaka 2025.
Unahisi Country Boy anaweza kushawishi watu warudi kuangalia video za miziki yao kama ilivyokuwa awali kabla ya uchaguzi?!!
 
Audio | Country Boy - Statement | Download 

No comments

Powered by Blogger.