MAREKANI YASEMA HAITAZUNGUMZA NA IRAN, HUKU MASHAMBULIZI YAKIENDELEA

Huku Rais wa Marekani Donald Trump akiendelea kusisitiza Iran kujisalimisha na kuweka silaha chini, mashambuli yameendelea kwa pande zote mbili ikiwa ni siku ya saba sasa tangu kuanza kwa vita ya Iran dhidi ya Israel akishirikiana na Marekani. Wakati huo huo bei ya mafuta imepanda kwa asilimia 13 duniani.

No comments

Powered by Blogger.