MAAJABU: MTOTO WA MIAKA MITATU (3) TANZANIA ANAYEFUNDISHA SEKONDARI

MTOTO Nice Valentino mwenye umri wa miaka mitatu na miezi tisa, ambaye ana vitu vingi vya kushangaza, ikiwemo kufundisha wanafunzi wa shule za sekondari, ameibuka akiwa na baba yake mzazi na kuanika maajabu saba ya kushangaza, hebu fanya kuangalia maajabu ya mtoto huyu ambaye ana kipaji cha ajaabu.

No comments

Powered by Blogger.