NEW JOINT: AINEA - NAJUTA KUPENDA (LISTEN / DOWNLOAD)

Anakwenda kwa jina la Ainea, msanii kutoka Tanzania ambaye kwa danta kuna ngoma yake ambayo imefanyika Eck studios zilizopo Dar es salaam. Ainea anafahamika kwa nyimbo kama Sina Mppango nae aliyomshirikisha Mr Blue na nyingine aliyofanya na Shetta huyu huyu wa Shikorobo. Najuta kupenda ni ngoma ambayo amefanya mwenyewe na hivi sasa yupo katika maandalizi ya kichupa chake ambacho kinafanyika Bagamoyo..! Listen and Download "NAJUTA KUPENDA" ya Ainea

No comments

Powered by Blogger.