COMING SOON: AINEA FT. DULLAYO - JUDY (AUDIO)

Dizain kama Ainea "Mzee wa sina mpango nae" anaendelea kuongeza fanbase yake kwa kutoka ngoma kali kila mwaka..! Hivi karibuni Ainea anakuja na nyimbo ambayo amemshirikisha Dullayo, ngoma inakwenda kwa jina la "JUDY" na imefanyika kwa producer Eck.. next week sio mbali ujue na song cover ndo kama hiyo hapo kwa danta mtu wangu

No comments

Powered by Blogger.